Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin W. Mkapa akiongoza mahafali ya tano ya Chuo Kikuu hicho yaliyofanyika leo katika eneo la Chimwaga,ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma leo. Sehemu ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye mahafali hayo mara baada ya kutunukiwa Shahada zao mbali mbali leo.wa pili kushoto ni Mtoto wa Ankal bi. Zahra Muhidin Michuzi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni