.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 20 Novemba 2014

MWANAMUZIKI WA UGANDA DESIRE LUZINDA ATOA MAELEZO YAKE POLISI

Hatimae mwanamuziki wa kike maarufu nchini Uganda Desire Luzinda, ameongea na maafisa upelelezi wa polisi kuhusiana na kusambaa kwa picha zake za utupu mitandaoni.

Luzinda alifika makao makuu ya polisi juzi usiku na kwenda moja kwa moja katika ofisi ya msemaji wa polisi ambapo alihojiwa na wapelelezi kwa muda wa saa mbili.

Vyanzo vya polisi vimesema Luzinda ametoa maelezo yanayomtuhumu aliyekuwa mpenzi wake kwa kuvujisha picha hizo kwenye mitandao ya jamii.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni