.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 27 Novemba 2014

RAIS BARACK OBAMA AWAEPUSHA BATAMZINGA WAWILI KUGEUZWA MLO

Rais Barack Obama amefanya tendo la kawaida Ikulu la utamaduni wa kuwaachia batamzinga wawili, kuwaepusha kuishia kuwa mlo wa usiku katika sherehe za Thanksgiving.

Katika mwaka huu jamii hiyo ya ndege waitwao Mac na Cheese, ambao ndio jina la mlo wa utamaduni unaoendana na sherehe hizo wameachiwa na wataelekea Virginia.

Rais Obama amekiri kushangazwa kwanini anafanya hivyo kila mwaka wakati anamajukumu makubwa yanayomkabili na kukiri kuwa hata hivyo anafurahi jambo hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni