Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere wa jijini Dar es salaam ,Bw.Moses Malaki (kulia), akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati wa hafla ya kukabidhiwa mabango
yanayotahadharisha wananchi na wageni waingiao na watokao Tanzania
kutojihusisha na shughuli yoyote inayohusiana na ujangili wa wanyama (kushoto),
Mkurugenzi wa WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato.PICHA NA PHILEMON SOLOMON
Mkurugenzi wa WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato
akisisitiza jambo kuhusiana na vyombo vinavyohusika na ulinzi na uangalizi wa
rasilimali za nchi.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wa jijini Dar es salaam ,Bw.Moses
Malaki (meza kuu kulia), wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi wa WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato (kulia),
akimkabidhi Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere wa jijini Dar es salaam ,Bw.Moses Malaki moja ya mabango hayo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni