Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akitoa ufafanuzi kwa
waandishi wa habari leo baada ya kupokea msaada wa magari manne na
vifaa vya afya kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la
Dunia(WHO), Dk. Rufaro Chotaro (Kulia).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akipokea moja ya funguo
kati ya magari manne kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la
Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro (Kulia).
Magari manne na vifaa vya afya
yaliyotolewa na Shirika la Afya la Dunia(WHO) kwa Wizara ya Afya.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni