Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 23 aliyekuwa akisafiri kutoka London, Uingereza kuelekea Liberty International Airport, New Jersey Marekani amefariki dunia akiwa ndani ya ndege ya shirika la ndege la United Airlines namba 115.
Mwanamke huyo ambaye anaelezewa kuwa alikuwa mwenyewe katika safari yake, alithibitishwa na madaktari na maofisa wa polisi kuwa amefariki dunia baada ya ndege hiyo kuwasili uwanja wa ndege wa Liberty.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni