.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 20 Desemba 2014

BALOZI KAMALA AKAGUA HOTELI YA NYOTA TANO PATAKAPO FANYIKA KONGAMANO LA BIASHARA MWAKA 2015


Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala ( wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa taasisi ya Afrika Rise ya Ubeligiji baada ya kukagua Hoteli ya Nyota tano ya Chateau Du Lac patakapo fanyika Kongamano la Biashara na Uwekezaji mwezi Aprili, 2015. Makampuni 500 kutoka Luxembourg, Ufaransa, Canada, Switzerland, Dubai, Ubeligiji, Tanzania, Morocco, DRC na Algeria yanatarajiwa kushiriki. Tanzania imekaribishwa kushiriki katika Kongamano hilo na itapewa fursa ya kutangaza fursa za biashara na uwekezaji zinazopatikana Tanzania. Kongamano hilo litafanyika jijini Genval - Ubeligiji.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni