.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 1 Desemba 2014

BUNGE LA VIJANA LAANZA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA

Spika wa Bunge la Vijana Ndg. Edgar Israel kutoka chuo cha St. John cha Dodoma akiingia Bungeni tayari kwa kuanza kwa Bunge hilo
Mpambe wa Bunge akiweka siwa mezani tayari kwa kuanza vikao vya Bunge la Vijana
Spika wa Bunge la Vijana Ndg. Edgar Israel kutoka chuo cha St. John cha Dodoma akisoma dua kabla ya kuanza kwa Bunge hilo mjini Dodoma. Waliosimama mbele yake ni Makatibu Mezani
 Washiriki wa Bunge la Vijana wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa maafisa wa Bunge kabla ya kuanza vikao vya Bunge hilo
 Washiriki wa Bunge la Vijana wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa maafisa wa Bunge kabla ya kuanza vikao vya Bunge hilo
Mshauri Msaidizi wa Maswala ya Sheria wa Bunge Ndg. Matamus Fungo akifafanua namna Muswada wa Sheria unavyopitia katika hatua mbalimbali Bungeni.
 Mkurugenzi msaidizi kutoka Kamati za Bunge Ndg. Athuman Hussein akifafanua jambo wakati wa semina ya Maalum kwa Wabunge wa Bunge la Vijana kabla ya kuanza kwa Bunge hilo Jana
 Afisa wa Bunge Ndg. Patson Sobha akielezea baadhi ya taratibu za kibunge wakati wa semina kwa Wabunge wa Bunge la Vijana kabla ya kuanza kwa Bunge hilo jana. Picha na Owen Mwandumbya

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni