.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 31 Desemba 2014

FLYBE YATUA KWA DHARURA IKIWA NA ABIRIA 69

Ndege ya shirika la ndege la Flybe ikiwa na abiria 63 imelazimika kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Belfast baada ya kuwepo kwa harufu ya moshi kutoka katika sehemu ya kubeba mizigo ya ndege hiyo. 

Ndege hiyo namba BE990 iliyokuwa inatokea Southampton ilitua salama na tayari magari ya zimamoto na kubeba wagonjwa yalikuwa yameandaliwa uwanjani hapo tayari kutoa msaada wowote ambao ungehitajika.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni