Wananchi wa Afrika Kusini jana waliadhimisha mwaka mmoja wa kumbukumbu ya kifo cha Nelson Mandela Madiba aliyefariki dunia desemba 05'2013 nchini humo akiwa na umri wa miaka 95. Sehemu mbalimbali nchini humo wananchi walikusanyika wakiwa na maua mkononi kusherehekea kumbukumbu hiyo ya rais huyo wa kwanza mweusi nchini humo.
Mjane wa Nelson Mandela, Graca Michel ( kushoto ) akiwa ameongozana na wana familia wengine wakiwa na maua walipofika katika sanamu ya kiongozi huyo mtetezi wa weusi mjini Pretoria kuadhimisha mwaka mmoja wa kifo chake.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni