Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib
Bilai akizungumza na waumini wa Dini ya kikiristo wakati washerehe za
kutabaruku Kuweka wakfu, kanisa la Kiaskofu la Roho mtakatifu jimbo la
kondoa jana 4/12/2014 iliofanyika Wilaya
ya Kondoa Mkoa wa Dodoma.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib
Bilal akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu na mashekh wa Wilaya ya kondoa
mkoa wa Dodoma Mara baada ya kuzungumza na waumini wa Dini ya kikiristo jana
tarehe 4/12/2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib
Bilal akiagana na Askofu mkuu wa Kanisa katoliki Tanzania Kardinali Polcarp
Pengo wakati wa Sherehe za Kutabaruku kuweka wakfu ,kubariki kanisa lakiaskofu
la roho Mtakatifu la jimbo la kondoa iliofanyika wilayani kondoa mkoa wa Dodoma
juzi tarehe 4/12/2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib
Bilal akipongezwa na Askofu wa kanisa katoliki Jimbo la kondoa Baba Bernadin Mfumbusa mara baada ya kuzungumza na
waumini wa kanisa la kiaskofu la Roho mtakatifu jimbo la Kondoa juzi 4/12/2014
iliofanyika walaya ya kondoa mkoa wa Dodoma.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni