.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 6 Desemba 2014

MARIO BALOTELLI MATATANI TENA

Msahmbuliaji mtukutu wa Liverpool, Mario Balotelli amefunguliwa mashitaka na Shirikisho la Soka la Uingereza ( FA ) kutokana na maneno yake yaliyohusishwa na ubaguzi aliyoweka katika mtandao wao wa kijamii Instagram. Mario mwenye miaka 24 aliweka katika mtandao huo maneno yaliyosema "jumps like a black man and grabs coins like a Jew.". Hata hivyo baada ya muda mfupi aliondoa maneno hayo na kuomba radhi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni