.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 20 Desemba 2014

MH AMOS MAKALLA AKAGUA MIRADI YA MAJI WILAYANI HAI MKOANI KILIMANJARO

Naibu Waziri wa Maji,Mh Amos Makalla akiangalia ramani ya mradi wa maji Boro ( Masoka )

Naibu Waziri wa Maji,Mh Amos Makalla akisikiliza maelezo kutoka kwa viongozi wa mji mdogo wa Himo katika moja ya kituo cha kuchotea maji.

Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akipata maelezo ya ujenzi wa tanki la maji mradi wa Boro- masoka kutoka kwa mhandisi maji Moshi injinia Brown Lyimo. Anayewasikiliza kwa umakini ni Mkuu wa Wilaya ya Hai, Novatus Makunga.

Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akipokelewa na mchungaji kiongozi Rev Elia Saria wa Mwika bible school.
Atembelea mradi wa kuchimba kisima kirefu mwika bible schoo,mradi maji Mji mdogo wa Himo na mradi wa maji Boro(Masoka). Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mh Novatus Makunga.
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makala akikagua kisima cha maji Mananga Mto Ghona-Himo.
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akiongea na viongozi wa mji wa Himo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni