.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 1 Desemba 2014

POLISI WA AUSTRALIA WAMTAKA MAMA ALIYEZIKA KICHANGA KWENYE FUKWE KUJITOKEZA

Polisi nchini Australia wamemtaka mama wa mtoto aliyekutwa amekufa na kuzikwa kwenye mchanga wa kwenye fukwe ya Maroubra Jijini Sydney kujitokeza mbele ya vyombo vya dola.

Mwili wa mtoto ulibainiwa na watoto wawili wa kiume waliokuwa wakifuku mchanga katika fukwe wakati wakicheza.

Polisi wamesema kuwa hawakuweza kubaini umri wa mtoto huyo wala jinsia yake kutokana na mwili wake kuharibika mno.

Tukio hilo limetokea baada ya wiki mmoja kupita tangu mtoto mchanga kukutwa hai kwenye mtaro Jijini Sydney.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni