.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 18 Desemba 2014

PRINCE HARRY AWAJAZA FURAHA NA MATUMAINI WATOTO YATIMA WALIOPO LESOTHO

Mwana wa familia ya kifalme ya Uingereza Prince Harry mwishoni mwa wiki iliyopita ametembelea taasisi yake ya misaada ya Sentebale kuangalia mradi wa kulea watoto yatima ulipo nchini Lesotho.

Katika safari hiyo Prince Harry ameweza kuachia picha kadhaa akionekana mwenye furaha na watoto hao yataima ambao wengine wanaulemavu wa macho na wa akili.
                                  Prince Harry akicheza na mtoto kwa kumrusha mtoto juu
                                                   Watoto wakicheza kwa furaha na Prince Harry
                                   Kula tano mwanangu..Prince Harry akimpa Hi 5 mtoto

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni