Rais wa Marekani, Barack Obama jana jioni amemteua Ashton Carter kuwa waziri wa Ulinzi wa taifa hilo kubwa lenye nguvu dunia. Hata hivyo uteuzi huo wa Carter utasubiri kupitishwa na Bunge.
Waziri mteule wa Ulinzi wa Marekani, Ashton Carter ( kulia ) akifurahia jambo na Rais Barack Obama na Makamu wa Rais, Joe Biden ikulu ya Marekani jana.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni