.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 6 Desemba 2014

SIMBA YASHINDWA KUIFUNGA EXPRESS YA UGANDA NYUMBANI, ZATOKA 0-0, UWANJA WA TAIFA

Magolikipa wa Simba, Manyika Peter na Ivo Mapunda wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya mchezo wao wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya The Express ya Uganda, katika mchezo huo timu hizo hazikufunga. Picha na Francis Dande
Katongole Henry akimtoka mshambulia wa Simba, Ramadhani Singano 'Mess'.

Kipa wa The Express, Mutumba Ivan akiruka juu kuokoa moja ya hatari langoni mwake.

Beki wa Simba, Nasoro Masoud akimtoka mchezaji wa The Express ya Uganda wakati wa mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Ramadhani Singano 'Mess' akitafuta mbinu za kumtoka beki wa The Express, Katongole Henry.
Kipa wa The Express ya Uganda, Mutumba Ivan.
Maguri akipata matibabu baada ya kuumia.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni