.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 7 Januari 2015

ALEX SONG ATANGAZA KUSTAAFU SOKA LA KIMATAIFA

Mchezaji wa kimataifa raia wa Cameroon, Alex Song ametangaza kustaafu rasmi soka la kimataifa, ikiwa ni siku chache tu kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika Equatorial Gunea. 

Taarifa hiyo ni kama zawadi kubwa kwa kocha wa West Ham, Sam Allardyce ambaye sasa ana uhakika wa mchezaji huyo kubakia na timu yake katika ligi kuu Uingereza pamoja na kombe la FA wakati ambapo timu nyingi za Uingereza zitaathirika kwa wachezaji wao raia wa Afrika watakapojiunga na timu zao za taifa kwa ajili ya Afcon 2015.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni