Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa ZSSF Abdulwakil Haji Hafidh alipowasili kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo Mjini Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa kiwanja hicho leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mikaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua rasmi kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kufungua rasmi kiwanja cha ZSSF -Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo wakati akipanda mti aina ya Muembe katika ufunguzi wa kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake baada ya ufunguzi wa Kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt.Rashid Mohamed,[Picha na Ikulu.]
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni