.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Januari 2015

FA CUP, CHELSEA YAITANDIKA WATFORD 3-0

Timu ya soka ya Chelsea imezindukia katika kombe la FA baada ya kuitandika Watford mabao 3-0 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Stamford Bridge. 

Chelsea ambayo juzi ilipata kipigo cha aina yake cha mabao 5-3 toka kwa Tottenham katika mchezo wa ligi kuu Uingereza, jana ilipata ushindi huo katika mchezo wa FA kwa mabao yaliyowekwa kimiani na William, Loic Remy na Kurt Zouma na kuifanya Chelsea kusonga mbela katika michuano hiyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni