Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) wanayo furaha kuungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohamed Shein pamoja Watanzania wote katika Maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
“HIFADHI YA JAMII KWA WOTE”
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni