.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Januari 2015

KIWANDA CHA CHAI CHA MPONDE KILICHOPO WILAYANI LUSHOTO CHARESHWA KWA WANANCHI

Picha chini inaonyesha msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukiwasili katika eneo la mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Mponde katika jimbo la Bumbuli wilayani Lushoto.2
3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akielekea kwenye eneo la Mkutano mara baada ya kushuka kwenye gari. 4
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa Wakulima wa Chai Bw. Almasi Kassimu ambaye alikuwa kiungo kikubwa katika kupatikana kwa suluhisho hilo. 5
Baadhi ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye eneo la mkutano wa hadhara. 6 7
Mkuu wa Wilaya ya Lushoto, Mhe. Majid Hemed Mwanga akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kijiji cha Mponde mkoani Tanga. 8
Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mh. Mrisho Gambo akisalimia wananchi katika mkutano huo. 9 
Mmoja wa wananchi kijiji cha Mpond akipiga makofi huku akiwa amevaa sanamu 10
Mkuu wa mkoa wa Tanga Mh. Magalula Said Magalula akisalimiana na wananchi na kujitambulisha kwao kama mkuu wa mkoa huo.
11
Mbunge wa jimbo la Lushoto Henry Shekifu akiwahutubia wanamponde. 12
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa na wakulima wa Chai Mponde wakati alipofika kijijini hapo ili kuwataarifu juu ya rais Jakaya Kikwete kuamuru Kiwanda cha Chai cha Mponde kurejeshwa kwa wananchi. 13 14
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Chai Tanzania Injinia Mathias Asenga aliyekuwa akiwaeleza wanachi juu ya kumalizika kwa mgogoro huo. 15
Mbunge wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba akimshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi wake wa kukirejesha kiwanda hicho kwa wananchi na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwa kushughulikia mgogoro huo mpamka kufikia mwisho. 16
Mbunge wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba akiendelea kuzungumza na wananchi katika mkutano huo. 17
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongea na wananchi katika mkutano huo wa hadhara.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni