.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 4 Januari 2015

KOMBE LA MAPINDUZI, MTIBWA YABANWA NA JKU UWANJA WA AMAAN


Wachezaji wa timu za JKU na Mtibwa wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana, timu hizo zimetoka sare ya 1-1.
Beki wa timu ya Mtibwa akimzuia mshambuliaji wa timu ya JKU katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa amaan. Timu hizo zimetoka sare 1-1.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni