.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 14 Februari 2015

BREAK POINT CARNIVORE KINONDONI

 Mandhari ya kiota kipya cha kisasa cha kilaji kiitwacho Break Point Carnivore jijini Dar es salaam kilichofunguliwa rasmi jana Ijumaa na kuvutia wadau wengi wa mighawa ya Break Point za mjini na Kijitonyama ambapo mambo yote yanayopatikana huko kama vile "jirambe", "mchemsho", "foil meat" na kadhalika. Msemaji wa kiota hicho Kaka Daudi anasema Break Point imeamua kuondokana na staili ya "Msonge" na kuja na kiota chenye mandhari tofauti kabisa lakini huduma zile zile na zaidi kama vile Cappuccino, Ice Cream, Fresh Juice na mambo kama hayo...
Mandhari kwa ndani ambako kila pembe kuna big screen
Jiko la kisasa
Msimamizi Gadi kutoka Reading, Uingereza, yupo kuweka mambo sawa
 Kaka Gadi anasema "Nguvu ya Mamba, kumayi", yaani nguvu ya mamba ni majini. Na Break Point wanasema nguvu yao iko katika jiko maalumu la nyama choma inayoonekana pichani
 "Nguvu ya mamba kumayi...".Kwa hisani ya Michuzi Blog
Vifaa safi na vya kileo
Ukumbi mkuu
Freezing room
Wapishi wa nguvu
Hapa ni keki, Ice cream, kahawa, capuchino na hata chai ya mkandaa...
Vifaa vya kisasa
Summit
Huduma bora
Muonekano toka barabarani

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni