.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumanne, 17 Februari 2015
KASESERA AFUNGUA MAFUNZO YA UKIMWI NA AFYA MAHALA PA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Kampuni Kubwa na Ndogo zinazopambana na UKIMWI Mahala pa kazi (ABCT) Tanzania, Richard Kasesera (kushoto) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya waratibu wa UKIMWI na Afya mahala pa kazi, Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Mratibu wa
ABCT, Ruth Gundula. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Scania Tz, Doris Masengo (kulia0 akielezea jinsi wanavosaidia kutoa elimu kwa wafanyakazi ya mapambano dhidi ya Ukimwi katika kampuni hiyo. Kushoto ni Meneja Msaidizi wa
Scania, Kisali Mnyari.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni