Pamoja na kucheza kwa juhudi zote, kikosi hicho kinachonolewa na kocha Diego Simeone kilijikuta kinatoka uwanjani kikiwa kimekubali kufungwa, bao lililofungwa na Hakan Calhanoglus katika dakika ya 57 ya kipindi cha pili na kuipa matokeo mazuri Bayer Leverkusen.
Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Fernando Torres akiwapungia mashabiki baada ya kumalizika kwa mchezo huo. |
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni