.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 26 Februari 2015

MVUTANO BAINA YA MAREKANI NA ISRAEIL WAZIDI KUSHAMIRI

Mvutano baina ya Marekani na Israel umeongezeka, baada ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahukuituhuma Marekani na mataifa mengine kushindwa kuizuia Iran kumiliki silaha za nyuklia.

Kufuatia kauli hiyo Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, imemuhoji Bw. Netanyahu kuhusina na matamshi hayo ya kuituhumu Marekani.

Wakati hayo yakiendelea viongozi wa chama cha Republican, wamemualika Bw. Netanyahu, kuhutubia baraza la Congress la Marekani wiki ijayo, jambo ambalo limekikasirisha chama cha Democrats.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni