.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 17 Februari 2015

MWANARIADHA WA KIKE WA KENYA AMALIZA MBIO ZA MARATHONI AKITAMBAA

Mwanariadha wakike raia wa Kenya Hyvon Ngetich ameushangaza ulimwengu kwa ushujaa alioonyesha kwa kumaliza mbio za marathoni za Austin zilizofanyika Texas akitambaa na kushika nafasi ya tatu.

Hyvon Ngetich aliishiwa nguvu akiwa umbali wa mita 400 kabla ya kumaliza mbio hizo na kuanguka alipojaribu kunyanyuka akashindwa na kuamua kutambaa hadi akamaliza mbio hizo, huku akikataa msaada wa kubebwa kwenye kiti cha magurudumu ili atolewe nje.

Kwa kuonyesha ushujaa huo Ngetich alipewa zawadi ya fedha sawa na mshindi wa pili, na baada ya hapo alikimbizwa hospitali kutibiwa majeraha ya magoti na alikutwa na ugonjwa kisukari cha chini.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni