Mwenyekiti wa Umoja wa
Wanawake Tanzania (UWT), ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na
Watoto, Sophia Simba (kushoto) akimsimika kwa kumvalisha joho la ulezi Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, mkoani
Lindi, Mathias Chikawe, kuwa mlezi wa UWT katika wilaya yake ya Nachingwea.
Sherehe hiyo iliyohudhuriwa na mamia ya wanachama wa UWT, ilifanyika katika
Ukumbi wa NR mjini Nachingwea leo. Picha
zote na Felix Mwagara.
Mwenyekiti wa Umoja wa
Wanawake Tanzania (UWT), ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na
Watoto, Sophia Simba (kushoto) akimsimika kwa kumkabidhi fimbo ya ulezi baada
ya kumvalisha joho, kofia na skafu, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye
pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, mkoani Lindi, Mathias Chikawe, kuwa mlezi
wa UWT katika wilaya yake ya Nachingwea. Sherehe hiyo iliyohudhuriwa na mamia
ya wanachama wa UWT, ilifanyika katika Ukumbi wa NR mjini Nachingwea leo. Wapili
kulia ni Mkuu wa wilaya hiyo, Regina Chonjo, na wapili kushoto ni mwanachama wa
UWT wilayani humo, ambaye pia ni Mke wa Waziri Chikawe, Profesa Amandina
Lyamba. Picha na Felix Mwagara.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni