Watu wanne wenye silaha wamevamia
nyumba ya mbunge wa jimbo la Kasarani nchini Kenya, Njoroge Chege na
kumjeruhi mlinzi wake leo alfajiri.
Wezi hao wameiba gari la mbunge huyo
aina ya Mitsubishi Pajero, katika tukio hilo lililotokea majira ya
saa tisa.
Akiongea mara baada ya shambulio
hilo, Njoroge amesema maisha yake yapo hatarini kutokana na wavamizi
hao kumfuatilia yeye na kuvamia mara tu baada ya kupaki gari lake.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni