.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 27 Machi 2015

MUDY MATUMLA MCHINA KUPAMBANA LEO IJUMAA DIAMOND JUBILEE

Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto'  wakitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitazamana kwa usongo na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee katikati ni Jay Msangi Promota wa mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWS
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Cosmas Cheka baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' na Mohamedi Matumla baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Japhert Kaseba Kushoto akitunishiana misuli na Mada Maugo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo Ijumaa katika ukumbi wa Diamond Jubilee Picha na SUPER D BOXING NEWS

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni