.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 19 Machi 2015

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ANAYESHUGHULIKIA USALAMA WA RAIA NA HAKI ZA BINAADAMU AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Anayeshughulikia Usalama wa Raia na Haki za Binaadam Marekani Bi Sarah Sewall akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati wa ziara yake Zanzibar na kutembelea NGOs ya TAYI Muembemadema kuzungumza na viongozi wa Taasisi hiyo iyo kuwa ya Kiserekali inayosimamia Mradi wa Vijana wa A Platform for Greating Space for Youth Dialogue with The Government , ambao muda wake unamalizika kipoindi hichu na kujiunea maendeleo ya Mradi huo wa Vijana jinsi ulivyofanikiwa na kutowa shukrani kwa Viongozi wa TAYI kwa kukamilisha mradi huo kwa asilimia mia moja.
Mkurugenzi wa Center for Youth Dialogue Ndg Hashim Pondeza akitowa ufafanizi wa maelezo ya Bi Sarah kwa waanddishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Ukumbi wa Taasisi ya TAYI Muembemadena Zanzibar
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo na Naibu Waziri wa Nje wa Marekani katika ukumbi wa TAYI madema Zanzibar akizungumzia ujio wake na kutembelea Taasisi mbalimbali za Vijana kuona maendeleo ya taasisi hizo zinazotowa Elimu kwa Vijana Zanzibar.
Waandishi wakifuatilia mkutano huo wakiwa katika ukumbi wa Afisi za Jumuiya ya TAYI muembemadema Zanzibar.
Mwandishi wa habari alipata fursa ya kuuliza swali kuhusiana na vurugu zinazotokea wakati wa kipindi cha uchaguzi na vijana ndio wanaohusika katika vujo hizo anazungumziaje hali hiyo.

Mwandishi akiuliza swali la Ndugu zetu wa Ulemavu wa ngozi Albino Serekali ya marekani inalizungumzia vcipi suala hili.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni