.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatatu, 30 Machi 2015
TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA HABARI ZANZIBAR MABINGWA WA NSSF MEDIA CUP 2015
Mgeni rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman Mwansoko akikabidhi kombe la ushindi kwa Nahodha wa Timu ya Habari Zanzibar baada ya kuibuka mabingwa wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015. Wapili kushoto ni
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Dr Ludovick Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.
Mgeni rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman Mwansoko akikabidhi zawadi kwa Mshindi wa pili kwa kwa Nahodha wa Timu ya IPP Media baada ya kuwa washindi wa pili kwa mpira wa miguu wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015. Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Dr Ludovick
Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.
Mgeni rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman akikabidhi kombe la ushindi kwa Nahodha wa Timu ya NSSF ya Mpira wa Pete Bi Nora Mwidunda baada ya kuwa washindi wa pili wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015. Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Dr Ludovick Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa
Wateja Bi Eunice Chiume.
Mgeni rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman Mwansoko akikabidhi kombe la ushindi kwa Nahodha wa Timu ya Uhuru Queens ya Mpira wa Pete baada ya kuibuka mabingwa wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015.
Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Dr Ludovick Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni