.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 20 Machi 2015

WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI KIJIJI CHA NYABEHU,BUNDA MMOANI MARA

3
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Bunda katika kijiji cha Nyabehu mkoani Mara ,Machi 20, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji. . Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na kushoto ni Mbunge wa Mwibara, Kange Lugora. Wapili kulia ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephene Wasirra.
5
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua moja kati ya mashine tisa za kusukuma maji katika mradi wa Maji wa Bunda uliopo kwenye ziwa Victoria katika kijiji cha Nyabehu wilayani Bunda ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji Machi 20, 2015. Kulia kwake ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe.
1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua eneo la chanzo cha maji cha mradi wa maji wa Bunda katika katika ziwa Victoria kwenye kijiji cha Nyabehu mkoani Mara ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji, Machi 20, 2015. Kulia kwake ni Mbunge wa Bunda na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephene Wasira.

                                                                             (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni