.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumanne, 28 Aprili 2015
BALOZI KAMALA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KONGAMANO LA KIMAITAIFA LA BIASHARA UBELIGIJI
Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Laxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Kutoka Nchi Mbamlimbali Duniani Baada ya Ufunguzi Rasmi wa Kongamano la Biashara la Kimataifa linalofanyika Genval Ubeligiji. Makampuni zaidi ya 500 yakiwemo hamsini kutoka Tanzania yanashiriki Kongamano hilo. Makampuni hapo yanatoka nchi zinazozungumza kifaransa. Tanzania ni nchi pekee inayozungumza kingereza iliyokaribishwa kushiriki. Kesho, Balozi Kamala atawasilisha mada ya kubainisha fursa za uwekezaji na biashara zinazopatikana Tanzania.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni