Picha ya pamoja ya baadhi ya makapuni binafsi waliopewa tuzo bora za
viwango.
Kutoka kushoto ni Bi.Dorothy Mashamsham kutoka kampuni ya Mafuta ya PetrolFuel, Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One Bi Joyce Mhaville, kulia kwake ni Mkurugenzi wa Masoko wa ITV/Radio One, Bi Joyce Luhanga, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, na Meneja Masoko Bwana Elisa Ernest kutoka kampuni ya bima ya Alliance Insurance.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni