Mabao kutoka kwa wachezaji Raheem Sterling katika dakika ya 9 ya kipindi cha kwanza cha mchezo, na bao la pili lililowekwa kimiani na Joe Allen kunako dakika ya 71 ya kipindi cha pili yalitosha Liverpool kuizamisha Newcastle United kwa mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliochezwa usiku wa kuamkia leo.
Kwa matokeo hayo, Liverpool imefikisha pointi 57 wakiwa katika nafasi ya tano katika msimamo wa ligi hiyo.








Hakuna maoni :
Chapisha Maoni