.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 11 Aprili 2015

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR MAALIM SEIF ATEMBELEA WAGONJWA

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifanya ziara ya kutembelea wagonjwa waliojeruhiwa katika vurugu za kisiasa zilizotokea siku ya mkutano wa CUF uliofanyika Makunduchi tarehe 29/03/2015. Baada ya kuwaangalia wagonjwa hao katika mitaa mbali mbali ya Mjini Magharibi ikiwemo mitaa ya Jang'ombe, Muembe Makumbi na Mfenesini, Maalim Seif amesema Chama hicho hakitotoka kwenye mstari na kamwe hakitojitumbukiza kwenye vurugu hizo zilizopangwa kwa malengo ya kukivurugia malengo yake. 

                                                                                 (Picha na Salmin Said, OMKR)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni