Mkutano huo umefunguliwa jana ambako nchi zaidi ya 150 zinashiriki.
Leo kikao cha Mawaziri wa Maji kimefanyika na ajenda ni water for our Future.
Naibu Waziri wa Maji ameongoza ujumbe wa serikali na kesho Spika wa Bunge la Jamhuri la muungano wa Tanzania ataiwakilisha Tanzania, mawaziri toka nchi mbalimbali wanashiriki mkutano huo.
Spika Anna Makinda na Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla wakiwa ndani ya treni toka Seoul kwenda Gyeongbuk kushiriki mkutano wa Maji jana.
Maazimio ya mkutano yakisomwa
Naibu Waziri wa Maji,Mh Amos Makalla ( kushoto ) akifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa Maji leo..
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni