.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 23 Aprili 2015

MIILI YA WAHAMIAJI 24 WALIOPATIKANA KATIKA AJALI YA BOTI BAHARI YA MEDITERRANEAN WAZIKWA

Miili ya wahamiaji 24 waliofariki dunia katika bahari ya Meditteranean wiki iliyopita wamezikwa hii leo kwa heshima zote huko Malta. 

Kabla ya maziko yao, viongozi wa dini tofauti waliendesha misa za kuwaombea wahamiaji hao. 

Miili hiyo 24 ni kati ya wahamiaji 900 waliopoteza maisha yao baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediteranean wakitokea Libya wakiwa njiani kwenda Ulaya kutafuta maisha bora.
Wanajeshi wakiwa wamebeba majeneza yenye miili ya wahamiaji 24 waliofariki dunia katika bahari ya Mediterranean wiki iliyopita. Miili hiyo ndiyo iliyopatikana kati ya wahamiaji 900 walipoteza maisha yao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni