.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumanne, 14 Aprili 2015
MKUU WA MKOA SIMIYU, ERASTO MBWILO AWATEMBELEA WALIATHIRIWA NA MAFURIKO
MKUU wa mkoa wa Simiyu, Erastoni Mbwilo akiongea na wananchi wa kijiji cha Lutubiga katika halmashauri ya wilaya ya Busega alipowatembelea baada ya kijiji hicho kukumbwa na mafuriko hivi karibuni.
MKUU wa mkoa wa Simiyu, Erastoni Mbwilo ( mwenye suti ya kaki ) akisisitiza jambo alipowatembelea kuwafariji wananchi waliokumbwa na mafuriko hivi karibuni katika kijiji cha Lutubiga.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni