.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 26 Aprili 2015

NAIBU WAZIRI WA MAJI, MH AMOS MAKALLA AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI WILAYANI MBINGA KUKAGUA MIRADI YA MAJI

Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akisalimiana na viongozi wa Wilaya ya Mbinga waliofika kumpokea kwenda kukagua miradi ya maji iliyopo Wilayani Mbinga. Kushoto kwa Naibu Waziri ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Bi. Senyi Ngaga na aliyevaa kofia ni Mbunge wa Mbinga Mashariki Mh. Gaudence Kayombo.Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla mwenye tabasamu akipokea zawadi ya gunia la mpunga pamoja na mbuzi kutoka kwa wanakijiji wa kijiji cha Litumbandyosi kikilichopo Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni