Jumanne, 28 Aprili 2015
NAIBU WAZIRI WA MAJI MH AMOS MAKALLA AMEFANYA ZIARA KATIKA MIRADI MBALIMBALI YA MAJI JIMBO LA PERAMIHO
Naibu Waziri wa Maji,Mh Amos Makalla amefanya ziara kikazi katika jimbo la Peramiho kwa kutembelea miradi maji vijiji vya Lugagara, Peramiho, Muungano Zomba, Liula na Matimila.
Naibu waziri amewahakikishia nia ya serikali ya kukamilisha miradi yote ya vijiji kumi na Ile ya Matokeo ya haraka.
Naibu Waziri wa NMaji, Mh Amos Makalla akipokea zawadi kijiji cha Lugagara Naibu Waziri Maji,Mh Amos Makalla akipata maelezo mradi Maji Peramiho A
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni