Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja leo kupokea matembezi ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi katika kumuenzi Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,[Picha na Ikulu.] 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja leo kupokea matembezi ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi katika kumuenzi Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,[Picha na Ikulu.] 

Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika matembezi ya kumuenzi Marehemu Mzee Abeid Amani Karume wakiingia katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo ambapo yatapokelewa na rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 

Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakibeba Picha la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume katika matembezi ya kumuenzi kiongozi huyo yaliyoanzia Mwera na kumalizia katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo ambapo yatapokelewa na rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwangia mkono vijana wakati alipokuwa kiyapokea matembezi ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi katika kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume katika viwanja vya
Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Vijana wa Chama cha Mapinduzi walioshiriki katika matembezi ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume baada ya kuyapokea matembezi hayo leo katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi walioshiriki katika matembezi ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume yaliyoanzia Mwera na kumalizia katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCm Kisiwandui Mjini Unguja leo na kupokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Vijana wa Cahama cha Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza nao baada ya kuyapokea
matembezi ya Vijana hao yaliyoanzia Mwera na kumalizia katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni