.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 30 Aprili 2015

SEHEMU YA PILI YA KIPINDI CHA " UBISHI "



Katika mwendelezo wa kipindi cha ‘Ubishi - Komaa Upate Pesa’, wiki hii Bwana Costantine Magavilla anakuletea sehemu ya pili iitwayo ‘Kazi ni Tabia’. 

Kazi ni gumzo kwa vijana wengi wa mjini ila ni kitu gani kinacho wachochea vijana kufanya kazi haswa na je madhara yake ni nini kwao. 

Pata majibu kwa kutembelea www.magavilla.com au kwa kubofya hapa https://www.youtube.com/watch?v=PY-QUloAZXY

Usikose kufuatilia vipindi hivi vinavyolenga kuelimisha, kukuhamasisha utazame upya maisha yako upateujasiri wa kubadili fikra na kufanya yako kila wiki siku ya Jumanne.

Bwana Costantine Magavilla ni mwandishi wa kitabu kiitwacho 'Life and You' na ni mhamasishaji maarufu Tanzania katika makongamano mbalimbali kuhusiana na maendeleo binafsi na mabadiliko ya kibiashara. 


Ni mdau mkubwa wa masuala ya masoko hususan katika kutangaza biashara na miongoni mwa kazi zake ni kuwahamasisha vijana kujituma na kuchangamkia fursa.

Mwisho wa taarifa.Imetolewa na Mancom Limited kwa mawasiliano zaidi tuandikie kupitia info@mancom.co.tz au costantine@magavilla.com

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni