.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 18 Aprili 2015

SUMSUNG TANZANIA YAZITAMBULISHA SIMU AINA YA SUMSUNG S6 FLAT NA EDGE

Mkurugenzi Mkuu wa Samsung Tanzania Hyeong Jun Seo akionyesha moja ya simu aina ya Samsung S6 Flat katika uzinduzi wa simu mpya za samsung aina ya Samsung S6 flat na Samsung S6 Edge uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Regence Jijini Dar Es Salaam Jana
Mkurugenzi Mkuu wa Samsung Tanzania Hyeong Jun Seo akionyesha moja ya simu aina ya Samsung S6 Edge
 
Mkuu wa Simu kutoka Samsung Tanzania Sylivester Manyara akielezea sifa za simu hizo samsung S6 Flat na Edge katika uzinduzi wa simu hizo uliofanyika Jijini Dar Jana katika Hotel ya Hyatt Regence huku Sifa moja ya Simu hizo zikiwa na Uwezo wa Kuchaji bila waya ya chaji kuchomekwa kwenye simu (wireless charge) huku kamera ya mbele ikiwa na uwezo mkubwa wa kupiga picha na Ikiwa na IOS.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria uzinduzi huo uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Regence jijini Dar Jana
Katibu mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia (aliyeshika simu) akiingalia moja ya simu aina ya samsung s6 edge huku akipewa maelezo juu ya uwezo wa simu hizo huku ikiwa imetengenezwa kwa uimara wa hali ya juu kwa kutumia teknolojia ya Gorila inayoipa uwezo kioo cha simu hiyo kuendelea kuwa imara hata ikindondoka.Picha zote na Josephat Lukaza Wa Lukaza Blog

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni