.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 11 Aprili 2015

TANZANIA WOMEN AND YOUTH DEVELOPMENT KUFANYA KONGAMANO LA WANAWAKE WAJASIRIAMALI APRILI 30 MWAKA HUU

Tanzania women and youth development society tumeandaa kongamano la girls entrepreneur in Tanzania April 30 ukumbi wa peacock,na kujiunga katika forum hii ji laki moja kwa mwaka na unapata kujua mambo na fursa za kibiashara ikiwemo masoko ya Africa mashariki na nje ikiwemo china,na hata kukutana na wafanyabiashara waliofanikiwa kama unataka kujiunga piga simu +255 713 403231 pia fika katika ofisi zetu Maalifa house second floor.
Mratibu wa Kongamano hilo, Sophia Hezron (kushoto), akiwa na wajasiriamali wenzake, Monica Joseph (katikati) na Nancy Sumari.
Sophia Hezron (aliyeshika Kipaza sauti) akizungumza na wadau hivi karibuni
Baadhi ya bidhaa zitakazooneshwa katika kongamano hilo

mmoja wa wajasiriamali akizungumza na waandishi wa Habari hivi karibuni

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni