.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 28 Aprili 2015

TETEMEKO LA ARDHI NEPAL, ZAIDI YA WATU MILIONI NANE WAMEATHIRIKA

Umoja wa Mataifa umesema kuwa zaidi ya watu 8,000,000 ambao ni zaidi ya robo ya idadi ya watu wa nchi hiyo wameathiriwa na tetemeko la ardhi lililoikumba nchi ya Nepal hivi karibuni. 

Tayari mashirika ya misaada ya kimataifa imeanza kupeleka misaada nchini humo. 

Taarifa zinasema zaidi ya watu milioni moja na laki nne wanahitaji msaada wa haraka wa chakula.Tetemeko la ardhi lilipiga katika mji mkuu wa Nepal, Kathmandu siku ya jumamosi na kuharibu miundo mbinu mbalimbali zikiwemo nyumba kubomoka na kuwafukia mamia ya wananchi.

Zaidi ya watu 4,310 wamefariki dunia huku zaidi ya 8,000 wakijeruhiwa kufuatia tetemeko hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni