.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 19 Aprili 2015

UGAWAJI WA MIRABAHA KWA WABUNIFU NA WASANII ZANZIBAR

Gwiji la Taarab asilia enzi zilee Msanii Khamis Juma akiwa miongoni mwa wabunifu na wasanii maalum wanne mwaka huu akikonga nyoyo za washiriki wa hafla ya zilizofanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kamati ya ugawaji Mirabaha ambae pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Mh. Salim Nassor Ali –Jazeera akimkabidhi ngao mchangiaji bora wa kusaidia sherehe hizo Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Mahadhi Juma Maalim.
Mh. Salim Nassor – Jazeera akimkabidhi ngao msaidizi wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ustaadhi Suleiman Haji Suleiman akipokea kwa niaba ya Mhe. Balozi Seif ambae Ofisi yake imegharamia sherehe hizo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif aliyepo kati kati akimkabidhi ngao Msanii Khamis Juma baada ya kufuzu kuwa miongoni mwa wabunifu na wasanii wanne maalum katika sherehe za ugawaji wa Mirabaha Zanzibar. Wa kwanza kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mheshimiwa Aboubakar Khamis Bakari.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni