WACHEZAJI WA ZAMANI WA FC BARCELONA WAMTEMBELEA DK. SHEIN IKULU, ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohammed Shein akipokabidhiwa Jezi ya Bacelona namba 14 ya mchezaji wa zamani, Johan Cruyff (kushoto) wakati wa hafla fupi ya chakula jioni iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar timu hiyo ilipokutana na Rais.[Picha na Ikulu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni